Ajira Mtandaoni

Disclaimer

Tafadhali soma kwa makini

Taarifa zote za ajira zilizochapishwa kwenye Ajira Mtandaoni zinatoka kwa waajiri au vyanzo tunavyoamini kuwa ni halali. Hata hivyo, hatuwezi kuhakikisha kwa asilimia mia moja usahihi wa kila tangazo muda wote.

Ajira Mtandaoni HAITAWAHI kukuomba ulipe pesa ili kupata kazi. Endapo utaombwa malipo na mtu anayejitambulisha kama sisi, tafadhali ripoti mara moja kupitia ukurasa wetu wa Wasiliana Nasi au WhatsApp.

Watumiaji wanashauriwa kufanya uchunguzi wao binafsi kabla ya kukubali ofa yoyote ya kazi, hasa kwa fursa za nje ya nchi, ikiwa ni pamoja na kuthibitisha uhalali wa mwajiri na mkataba wa kazi.

Ajira Mtandaoni haiwajibiki kwa hasara yoyote itokanayo na maamuzi ya mtumiaji kuhusiana na taarifa zilizochapishwa kwenye tovuti hii.