Ajira Mtandaoni

Privacy Policy

Imesasishwa: 18 Sep 2026

1. Taarifa Tunazokusanya

Tunakusanya taarifa unazotupatia moja kwa moja unapojisajili au kutuma maombi ya kazi, ikiwa ni pamoja na jina, barua pepe, namba ya simu, makazi, na endapo kazi husika inahitaji — namba ya NIDA, CV na vyeti vyako.

2. Matumizi ya Taarifa

Taarifa zako hutumika kuwasilisha maombi yako kwa waajiri husika, kuboresha huduma zetu, na kukujulisha kuhusu fursa za ajira zinazofanana na taaluma yako.

3. Ulinzi wa Taarifa

Tunatumia hatua za kiufundi na kiutawala kulinda taarifa zako dhidi ya upatikanaji usioruhusiwa. Hata hivyo, hakuna mfumo wa mtandao ulio salama kwa asilimia mia moja.

4. Kushiriki Taarifa

Hatuuzi taarifa zako kwa mtu wa tatu. Taarifa zinazohitajika kwa maombi ya kazi hushirikishwa tu na mwajiri husika kwa lengo la usaili au uajiri.

5. Vidakuzi (Cookies)

Tovuti hii inaweza kutumia vidakuzi na huduma za matangazo kama Google AdSense kuboresha uzoefu wako na kuonyesha matangazo yanayofaa.

6. Haki Zako

Una haki ya kuomba kufutwa au kusahihishwa kwa taarifa zako wakati wowote kwa kutuwasiliana.

7. Mawasiliano

Kwa maswali kuhusu sera hii, tuwasiliane kupitia ukurasa wa Wasiliana Nasi.